‘Ni nafuu kubwa’: Gazeti la uchunguzi Tanzania lakubaliwa kuchapisha habari baada ya marufuku ya miaka 5

Na Muthoki Mumo/Mwakilishi wa CPJ Afrika kusini mwa Sahara  Mwaka wa 2017, Simon Mkina alikuwa ndiye mchapishaji na pia mhariri mkuu wa gazeti la habari za uchunguzi Tanzania la Mawio wakati serikali ilipotangaza kuwa imesimamisha uchapishaji wa gazeti hilo kwa “kuhatarisha usalama wa taifa” kwa kuchapisha ripoti ya kutuhumiwa kwa marais wawili wa zamani kuhusika katika sakata la madini….

Read More ›

Uchaguzi ukikaribia mamlaka ya mawasiliano Tanzania inatumiwa kama fimbo dhidi ya vyombo vya habari

Na Muthoki Mumo/Mwakilishi wa CPJ Africa kusini mwa Sahara Mnamo Agosti 27, siku ya pili ya kipindi rasmi cha kampeni Tanzania bara kuelekea uchaguzi wa Oktoba 28, mamlaka ziliamrisha vituo vya Clouds TV na Clouds FM kuahirisha matangazo yao ya kawaida na badala yake kuomba radhi mfululizo hadi saa sita usiku na baada ya hapo kusitisha matangazo kabisa kwa wiki moja.  …

Read More ›

Ushauri wa Kiusalama wa CPJ: Kuripoti kuhusu janga la virusi vya corona

Imebadilishwa mara ya mwisho Mei 20, 2021 Shirika la Afya Duniani (WHO) liliutangaza mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya COVID-19 (maarufu pia kama virusi vipya vya corona) kuwa ulioenea kote duniani, yaani pandemic mnamo Machi 11, 2020. Hali duniani inaendelea kubadilika, na mataifa yanaongeza au kulegeza vikwazo vya usafiri na/au hatua nyingine za kujikinga huku…

Read More ›

Janga la COVID-19 likiendelea, mustakabali wa uhuru wa habari si mzuri. Hapa ni mambo kumi makuu

Na Katherine Jacobsen Janga la ugonjwa wa COVID-19 limewapa kazi kubwa maafisa wa afya, limeathiri uchumi wa dunia, na kutumbukiza serikali kote duniani kwenye mzozo. Kadhalika, janga hili limeathiri jinsi wanahabari wanavyofanya kazi, miongoni mwa mengine kutokana na hali kwamba mamlaka katika mataifa mengi zimetumia ugonjwa huo kuminya uhuru wa vyombo vya habari. Baadhi ya…

Read More ›