1 results
Na Muthoki Mumo/Mwakilishi wa CPJ Afrika kusini mwa Sahara Mwaka wa 2017, Simon Mkina alikuwa ndiye mchapishaji na pia mhariri mkuu wa gazeti la habari za uchunguzi Tanzania la Mawio wakati serikali ilipotangaza kuwa imesimamisha uchapishaji wa gazeti hilo kwa “kuhatarisha usalama wa taifa” kwa kuchapisha ripoti ya kutuhumiwa kwa marais wawili wa zamani kuhusika katika sakata la madini….